Binamuye Raphael Tuju aliyetishia kumuua kwa kuunga mkono Jubilee aachiliwa
- Mmoja wa jamaa zake Raphael Tuju aliyekuwa amemtishia kumuua kwa kuunga mkono serikali ya Jubilee ameachiliwa kwa dhama
- Richard Aketch alimuonya Tuju kuwa asijaribu kurudi nyumbani kwani atauawa
Richard Aketch, mfanyazbiashara maarufu anayeaminika kuwa jamaa yake aliyekuwa katibu mkuu wa chama tawa la cha Jubilee, Raphael Tuju ameachiliwa kwa dhamana baada ya kushtakiwa kwa kumtishia maisha.
Habari Nyingine: Mpango wa kando wake Diamond kutoka Rwanda aonekana akiwa na viatu vya bei ghali
TUKO.co.ke imefahamu kuwa Aketch alikamatwa kwa kumtumia jumbe za kumtishia maisha Raphael Tuju, wote wakikabiliana kwa jumbe za simu.

Habari Nyingine: Tumefika Kanaani - Raila awashukuru wafuasi wake kwa kuhudhuria hafla ya kuapishwa kwake
Kwa mujibu wa Edailu, mnamo siku ya Ijumaa, Februari 9, hakimu mkuu katika mahakama ya Nakuru, Liz Gicheha alimwachilia Aketch kwa KSh 100,000, kesi yake ikipangiwa kutajwa tena Februari 12.
Kulingana na jumbe zake Aketch, alimuonya Tuju asije akakanyaga eneo la Luo Nyanza kwani aliisaliti eneo hilo kwa kuungana na Jubilee.
"Usikanyage nyumbani...endapo utakuja, tafadhali kuja na jeneza jingine," Alisema Aketch.
Read ENGLISH VERSION
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri: mwangi.muraguri@tuko.co.ke
Subscribe to watch new videosChanzo: TUKO.co.ke
ncG1vNJzZmijmajEorTIpaBnrKWgvG%2Bvzmeinmdia4J3f5ZmmaKmkaLCurGMq5ipoJGauW7A1KOsZpmcnsamwMisn6KZXaDCrsHUmmSkr5FiuLbBzaCYZqWbpLuwecmumaKklZp6oq3CoaCloaeWe6nAzKU%3D